sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Comments

Text Widget

Sample Text

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Ut enim ad minim veniam, quis nostrud exercitation test link ullamco laboris nisi ut aliquip ex ea commodo consequat.

Contact Form

Name

Email *

Message *

Total Pageviews

Translate

Advertise

Comments


Definition List

Definition list
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.
Lorem ipsum dolor sit amet
Consectetur adipisicing elit, sed do eiusmod tempor incididunt ut labore et dolore magna aliqua.

Support

Need our help to upload or customize this blogger template? Contact me with details about the theme customization you need.

Ordered List

  1. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit.
  2. Aliquam tincidunt mauris eu risus.
  3. Vestibulum auctor dapibus neque.

Column Left

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Vivamus leo ante, consectetur sit amet vulputate vel, dapibus sit amet lectus. Etiam varius dui eget lorem elementum eget mattis sapien interdum. In hac habitasse platea dictumst.

Recent Posts

Popular Post

Most Popular

Recent Tube

Wisata

News Scroll

Favourite

Event

Culture

Gallery

» »Unlabelled » Bobi Wine: Mwanamuziki mwanasiasa kurejea Uganda baada ya kupokea matibabu Marekani

Bobi Wine: Mwanamuziki mwanasiasa kurejea Uganda baada ya kupokea matibabu Marekani


Mbunge wa Kyandodo Mashariki mwa Uganda ,Robert KyagulanyiHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMbunge wa Kyandodo Mashariki mwa Uganda ,Robert Kyagulanyi
Mbunge wa Kyandodo Mashariki mwa Uganda, Robert Kyagulanyi ambaye pia ni mwanamuziki maarufu nchini humo ajulikanaye kama Bobi Wine anatarajia kurudi nchini Uganda hapo Jumatatu akitokea nchini Marekani ambapo alienda kupata matibabu baada ya kupigwa na vyombo vya dola.
"Nitarejea nyumbani siku ya jumatatu,licha ya kuwa bado nna hofu lakini Uganda ndio nyumbani ambapo familia yangu na watu wangu wapo.Nina wasiwasi lakini waganda milioni 44 nao wana hofu hivyo lazima nirudi," Wine alibainisha hayo wakati akihojiwa na gazeti la Mail na Guardian
"Unaweza kukutana na kitu chochote Uganda,na hata ukiangalia historia ya wapiganaji wengi wa ukombozi wamekuwa wakikamatwa wakati wa ujio wao na mimi sina tofauti na wao hivyo nnatarajia chochote kunikuta wakati nitakaporejea"Bobi Wine alisisitiza.
Wine ambaye aliondoka nchini Uganda mwanzoni mwa mwezi septemba kwa ajili ya matibabu ameeleza pia kuwa ali yake kwa sasa inatengemaa .
Bobi Wine alikamatwa tarehe 13 Agosti baada ya mkutano wa kampeni kaskazini-magharibi kwenye mji wa Arua ambapo kuna madai kuwa msafara wa rais ulitupiwa mawe.
ugandaHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionBobi Wine mwanamuziki mwanasiasa wa Uganda
Mwanamuziki huyo mwenye miaka 36 awali alishtakiwa kwenye mahakama ya kijeshi kwa makosa ya umiliki wa silaha kinyume cha sheria, mashtaka ambayo yalifutwa baadaye. Kisha akafunguliwa mashtaka ya uhaini kwenye mahakama ya kiraia.
"Kwa sababu mimi asili yangu ni Uganda na wala sijatokea katika familia ya hali ya juu kifedha na asili yangu ni mtoto wa mtaani .
Hivyo historia yangu ipo wazi ili kila mmoja aione ,ninapoongea wajione wao pia kwamba nnawakilisha sauti zao kupitie kwangu kwa sababu nnajua maumivu wanayopitia"Wine alitoa ujumbe kwa waganda.
Vilevile Wine alieleza kwamba kipindi atakaporudi Uganda hatasababisha vurugu kutoka kwake au wafuasi wake lakini ataendelea kufanya kile ambacho amekuwa akikifanya kwa muda wote kwa kuwapa moyo waganda na kila mmoja kufanya jukumu lake na kila mmoja kusimama kudai haki yake.
Bobi Wine ni nani?
Nyota huyo wa mtindo wa Afrobeats aliingia katika taaluma ya muziki katika miaka ya 2000, hna anaelezea kipaji chake kuwa ni cha kuelimisha na kuburudisha. Mojawapo ya vibao vyake vya awali Kadingo, inahusu usafi wa mwili.
Jina lake rasmi Wine, ni Robert Kyagulanyi Ssentamu, alichaguliwa kuwa mbunge katika uchaguzi mdogo baada ya kusimama kama mgombea huru mwaka jana wilayani Kyadondo mashariki, Uganda ya kati.
Aliwashinda wagombea kutoka chama tawala National Resistance Movement (NRM) na chama kikuu cha upinzani Democratic Change (FDC).
Baada ya kutangazwa mshindi, aliahidi kuangazia zaidi kuwaunganisha raia.
"Jambo langu la kwanza ninalotaka kufanya ni kufanikisha maridhiano kati ya viongozi wa Kyadondo Mashariki...Ninataka siasa zitulete pamoja... jinsi muziki ufanyavyo."
Mfuasi wa Bobi Wine akiwa na bango lake la kampeniHaki miliki ya pichaAFP
Image captionWine anajiita "Rais wa Ghetto" na anaungwa mkono pakubwa na vijana

Ufuasi wa Vijana

Mchambuzi wa kisiasa Nicholas Sengoba anasema uchaguzi mdogo wa Arua ulioshindwa na mgombea aliyeungwa mkono na Wine ulikuwa ni wa 'kufa au kupona kwa Museveni'.
"Chama chake kitawaza iwapo sasa huu ni msururu. Bobi Wine sasa amemshinda Museveni na kiongozi wa upinzani Kizza Besigye mara nne'' katika uchaguzi mdogo.
"Bobi amepata ufuasi kwa nemba yake ya 'nguvu za watu', na ananuia kushinikiza na kupanga liwe vuguvugu," anaongeza.
Mchambuzi wa kisiasa Robert Kirunda anasema mvuto wa Wines unatokana na kuwepo 'pengo la uongozi' Uganda.
"Kuna vijana wengi Uganda ambao hawana haja ya kujua vita vya kihistoria vilivyoiingiza NRM uongozini, au ukaidi wa upinzani mkuu. Wengi wanataka ajira na wanahisi uchumi hauwasaidi."
Kirunda anasema Wine 'anapigia upatu sana'. "Anaweza kushinikiza watu pakubwa, lakini bado hajapata nguvu kama alizonazo Besigye katika upinzani".

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply