umeshawahi kusikia ngoma kali ukaipenda ukataka kuimiliki na ukataka kuwatumia marafiki...Lakini ukagundua haufaham wimbo wala msanii. Usiwaze
Kupitia simu janja yako unaweza kupata app ambayo inaweza kksaidia kuambua nyimbo iyo
App iyo inaweza kukusaidia kujua jina la msanii ,jina la wimbo ata jina la albhum, kwako inakuwa kuisogeza simu karib na spika zinazopiga wimbo uo husika na kurekodi
SHAZAM
No comments: